Harmonize "Simuitaji Mwijaku, H Baba Wala Baba Levo Katika Maisha Yangu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Nyota wa muziki kutokea hapa nchini @harmonize_tz kupitia kibao chake kipya alichokiachia siku ya leo amesema kuwa hamuitaji Mwijaku, Hbaba wala Baba Levo kwenye maisha yake.

Ndani ya ngoma hio #LeaveMeAlone aliyomshirikisha mwanadada anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya muziki @abigail_chams, Harmonize amefikisha ujumbe wake huo akiwataka watu wamuachie maisha yake.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad