Kidoa Afunguka Kuwa Mke Bora, Awashangaa Kwanini Wanaume Hawamuoi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Kidoa Afunguka Kuwa Mke Bora, Awashangaa Wanaume! WAOAJI mpo? Video queen ambaye kwa sasa amegeukia kwenye uigizaji Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’  

amefunguka kuwa yeye ni ‘waifu matirio’ (mke bora) hivyo anashangaa kwa nini wanaume hawamuoni.


Kidoa kipindi cha nyuma alifunguka kuwa, anajijua yeye ni miongoni mwa wanawake wanaostahili kuwekwa ndani kwa sababu anajiamini kwenye tabia na kila kitu.


“Unajua ukiwa msanii, mtu anaweza kukufikiria kuwa huwezi kuwa mke bora, lakini ukweli ni kwamba ninastaili kuwa mke bora wa kuwekwa ndani na nikatulia kabisa,” alisema Kidoa.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad