"Nilitembea Kimapenzi na Baba Yangu wa Kambo Ambae ni Mchungaji...Alikuwa Akinunulia Pedi, Mama Hakuwa Ananijali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kupitia twitter mtu mmoja ameuliza, je ni kitu gani kilichofanya uache kwenda kanisani? ambapo watu mbalimbali wametoa sababu zao za kuacha kwenda kanisani, na mmojawapo ni mwanadada Paballo(23) wa S.Africa ambaye jibu lake limewaacha watu midomo wazi na kuibua minong'ono pia

Paballo anasema aliacha kwenda kanisani baada ya kulala kingono na mchungaji wa kanisa ambaye pia ni baba yake wa kambo na kusisitiza kwamba hajilaumu bali anamlaumu mama yake mzazi

Paballo anasema yeye ndie mtoto wa kwanza wa kike kwa mama yake. Anasema tangu akiwa mdogo aliishi kwa kutengwa na mama yake ndani ya nyumba hakupata upendo wala attention iliyostahili kama ilivyokuwa kwa ndugu zake wengine wa kambo. Anasema hata nguo hakuwa akinunuliwa na mama yake na hata alipofikia umri wa kuhitaji taulo za kike mama yake hakujisumbua kumpa mahitaji hayo muhimu

Anasema hali hiyo ya mama yake mzazi kutomthamini badala yake kumthamini mwanaume na ndugu zake wa kambo ilipelekea aanze kumchukia mama yake mzazi na alipokuwa akiachwa nyumbani peke yake akaanza kutembea kingono na baba yake wa kambo wakati mama yake akiwa kazini na hajutii kutembea na baba yake wa kambo kwasababu baada ya kuwa wapenzi akawa ananunuliwa mahitaji mbalimbali na huyo mchungaji wa kanisa ambaye ni baba yake wa kambo ikiwemo kumnunulia smartphone

Amesema alichoharibu ni kumueleza rafiki yake wa kike kanisani kuwa anatembea na mchungaji ambapo rafiki husika alivujisha siri ndugu zake wa kambo wakajua na kumlipua kwa vijana wengine wa kanisa, kila mtu akajua akaanza kusimangwa

Anasema mchungaji husika nusura afukuzwe katika kanisa lakini kilichomuokoa ni mchungaji kukataa kuwa hawajalala kingono pia kusingiziwa na mchungaji kuwa anasema uongo atakuwa ana mapepo ambapo kanisani waliamini hivyo mchungaji akaendelea kubaki

Mama yake alipojua alimtimua nyumbani ili anusuru ndoa yake lakini cha ajabu bado Paballo na mchungaj waliendelea na penzi lao mbali na nyumbani ambapo waliachana miaka mitatu iliyopita baada ya Paballo kupata boyfriend ambaye wamekuwa serious na kuhudumiwa mambo mbalimbali

Paballo pia anasema hakubahatika hata kupewa msingi mzuri wa elimu toka kwa mama yake licha ya ndugu zake wa kambo kupew
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad