Mrembo Niffer "Nina Viwango Vyote na Kuwa Kimapenzi na Ali Kiba"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mrembo Niffer ameonga kuhusu tetesi za kuwahi kuwa kwenye penzi na @officialalikiba ktk kipindi cha Lavidavi cha Wasafi FM


Niffer anasema "Sijawahi kuwa kwenye mahusiano na Ali, walituhusisha kwenye mahusiano sababu Ali ni Handsome na mimi ni Beautiful, Ana taste yake ya wanawake na mimi nina taste yangu ya wanaume, mimi ni miongoni mwa wanawake anaoweza kutoka nao, Asingekuwa maarufu na kwenye ndoa ningetoka nae, Nina vigezo vyote vya kutoka Nae"

Niffer anasema, "Kinachonivutia kwa Ali, ni Muislamu, Yuko Charming, akiwa rafiki yako uta Enjoy urafiki wenu for life, Ali alikuwa mtu wa kwanza kunifariji nilivyoanza kuonewa mtandaoni baada yeye kuni-Tag kwenye Birthday post Yake"

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad