Mwakinyo Afunguka Kilichotokea Akashindwa Pambano "Nimefanyiwa Hujuma, Naombeni Msamaha"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Hujuma ambayo imetokea juzi wakati nafika Airport Watu wote walipata mabegi Mimi langu sikulipata karibu masaa matatu nimelisubiri baadaye wakaniambia begi langu limesahauliwa Amsterdam kwahiyo nikae pale masaa matano walilete au nitoe anuani ya napokaa watalituma baada ya siku mbili"

"Niliwasiliana na promota akaniambia njoo uendelee na mambo mengine sisi tutashughulikia masuala ya begi lako, begi halijakuja juzi, jana na leo siku ya pambano wamenipa vifaa vingine vyao, viatu ambavyo nimevaa sijawahi kuvaa kupigania kuna muda nilipiga goti nikamwambia Refa nimepata ankle akaniambia unaweza kuendelea nikasema naweza kuendelea"

"Mara ya pili nikasikia ankle inakuja tena, nikatema mouth guard chini, sheria ukitema mouth guard Refa anatakiwa amrudishe nyuma Boxer unayepigana nae akuulize kuna tatizo gani au akuhesabia nikamwambia nina ankle akamaliza pambano"

"Najua imeumiza Watanzania wengi lakini na mie pia imeniumiza sana kwasababu sipendi kupoteza kabisa katika maisha yangu, kitu kimeniuma sana na ipo nje ya uwezo wangu naombeni mnisamehe sana ambao nimewaumiza lakini Promota ameahidi pambano litarudiwa kwasababu hata yeye hajapendezwa na matokeo"
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad