Mwamuzi Aliyevurunda Pambano la Mandonga Asimamishwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwamuzi Habib 'Mkarafuu' Mohammed aliyechezesha pambano la Karim 'Mandonga' Said na Salim Abeid amesimamishwa.

Mkarafuu ambaye ni Mwenyekiti wa Chama ca waamuzi wa ngumi za Kulipwa nchini ameondolewa kwenye orodha ya waamuzi kwa muda baada ya kukiri kushindwa kumudu kuchezesha pambano hilo lililopigwa Usiku wa kuamkia Jumapili mkoani Mtwara.

Matokeo ya pambano hilo yalifutwa na rais wa Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC), Chaurembo Palasa baada ya mwamuzi kuonyesha kutolimudu baada ya Mandonga kupigwa na kudondoka chini lakini hakumhesabia kama kanuni zinavyotaka hadi aliponyanyuka.

Katibu wa Chama cha waamuzi wa ngumi za kulipwa, Emmanuel Mlundwa amesema mwamuzi huyo ametakiwa kurudi darasani kabla ya kuruhusiwa kuendelea na majukumu ulingoni.


Amesema rais wa TPBRC hakukosea kufuta matokeo kwa kuwa kama yangeingizwa kwenye rekodi, mtandao wa ngumi za kulipwa wa dunia (Boxrec) ungehitaji video zake kwanza.

"Hivyo ingeleta mtizamo hasi kwenye ngumi zetu, lakini kama Chama tumejiridhisha kuwa kulikuwa na makosa mengi ya kiuamuzi kwenye pambano hilo, huenda yamechangiwa na waamuzi wetu kukaa muda mrefu bila kushiriki kwenye kozi mbalimbali na ndicho kimetokea kwa Mkarafuu," amesema Mlundwa.

Amesema kutokana na makosa hayo, Chama kimemsimamisha mwamuzi huyo kuchezesha pambano lolote hadi atakaporudi darasani kuongeza ujuzi kwenye kozi za waamuzi miezi miwili ijayo," amesema.


Mwamuzi huyo ameridhia adhabu hiyo na kukiri kushindwa kumudu pambano hilo ambalo alidai uamuzi wake ulitokana na makosa ya kibinadamu.



Dady Joseph
20h

asa kosa liko wapi jamani au ndo kukoseshana ugali TU Mandonga mtu kazi tumkubali sana wanannchi na huyo kocha mbona alikuwa sahihi
Jibu
majibu 2


EmmanuelKisambiMesso
7h

hakua na makosa alie sababisha asimuhesabie ni mpinzani baada ya kumpiga KO mandonga alitaka kuendelea kumshambulia, mwamzi ikabid amzuie, mda huo mandonga akapata nguvu akanyenyuka, kwahiyo kosa la mpinzanZaidi

Jibu
jibu 1


Dady Joseph
6h

ticha jitete kama mandonga anavyo jiteteaga sio inakubali kiraahisi tu
Jibu


Toa maoni yako

A small investment every month can change your life
www.thebalance.com
|
Sponsored
by Taboola
Unaweza kuwapenda watu
Mwanamke Mkenya Anayefanya Kazi Misri Auawa kwa Kukataa Penzi la Mtoto wa Bosi

1h
kiswahili.tuko.co.ke


Bonde la Maajabu Lenye Mawe Yanayotembea Bila Kuguswa


4
globalpublishers.co.tz


Manara Amchana Mwakinyo, Amuita Muongo, Lofa, Mwakinyo Ajibu Mapigo


18
globalpublishers.co.tz


Kinda la Tanzania limeanza maisha mapya Barcelona


3
dar24.com


Habari mpya
Shaffih Dauda "Mimi niliwaambia kuwa kuna vitu havipo sawa ndani ya Simba"


2
2h
udakuspecially.com


Mwanamke Mkenya Anayefanya Kazi Misri Auawa kwa Kukataa Penzi la Mtoto wa Bosi

1h
kiswahili.tuko.co.ke


Dejan: Mkataba wangu umevunjwa Simba SC


1
4h
dar24.com


Ureno hoi, Ronaldo mmh!

2h
mwanaspoti.co.tz


The Cost of A Hair Transplant in Dar Es Salaam May Surprise You
Hair Transplant | Search ads
People from Tanzania, United Republic Of Might Not Believe Used Car Prices
Used Cars | Search Ad
by TaboolaSponsored Links

6

7

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad