Wema Sepetu Asimulia Whozu Alivyomsurprise kwenye B'Day yake, Adai Amempa Furaha 'Nimepata Amani ya Moyo'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ameandika Haya Wema Sepetu: 

"Nilichokuwa najua mimi ni kwamba Bday yangu ita happen kipindi ambacho tutakuwa tupo kwenye tour yetu ya Ujanja kuchanja so kiukweli sikuwa na plan yoyote... Nilivyojua kuwa bado tutakuwa Dar, ikabidi tu niwe mdogo... Nilitakiwa kuwa nashoot vipindi vya Cook with Wema ila kukatokea shida kidogo maana apartment tunaposhoot zikawa zipo occupied... So wat i decided was to jus chill nyumbani, nothing special... Ila swala la kwenda Live saa sita kamili lilibaki pale pale...

Huku upande wa pili sasa, nikaambiwa kuwa Mama anakuja kutoka Moshi na ilibidi nimuone usiku huo... So nikajiandaa vizuri kwa ajili ya kwenda kumuona Mama...Niliagwa kuwa anaenda kumalizia kiporo cha video yake 

Piga simu sana kuuliza kama wameenda airport kumfuata mama... Sielewi majibu nayopewa.... Hatimae nikaambiwa mama kashafika na yupo apt Posta & anataka kuniona... Basi bwana tukafunga safari from Home to Posta kwa lengo la kumuona Mama... Sikusahau swala la kuingia Live saa sita for my bday, maana hapo mnaponiona nilikuwa Live... kuingia apt ndo nakutana na mambo hayo jamani... 🥰🥰🥰 Hata kama ingekuwa wewe ungefanya nini...🤗🤗🤗 Nilijiona Special sana nisiwe muongo... Nikaona Dunia yote yangu... Mpaka dakika hii bado nafeel hivyo wallahy... Nyiee Nyieee... Mmmh...

Moral of the story: Life is too short kuwa stressed... Nakumbuka at one point in my life nishawahi kuwa stressed, Lonely, Sad, mwenye kukosa matumaini, mtamani kufa... Nashkuru Mungu nimepata Amani ya moyo... Ninapenda ninavyo feel kwa sasa.... Kama hamja notice, nina Glow flani amazing... 😋😋😋

Kauli mbiu: Kupendwa Raha...❤️

Asante Chibaba ❤️

Tunaendelea... It is my Bday after all...😉😉😉

Its the little things that matter & mean alot in life... Embrace them with all your might vikikufikia... Sio wengi wetu wenye furaha ya kweli....


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad