Basata Wakanusha Taarifa za Kutoa Siku Mbili kwa Uongozi wa Konde Gang Kumalizana na Cheed na Killy

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kupitia XXL ya Clouds Fm leo tarehe 20 October, Afisa sanaa mwandamizi wa Baraza la sanaa Tanzania (BASATA), Abel Ndaga amekanusha taarifa zinazo enea mitandaoni kuwa Baraza hilo limetoa siku mbili kwa uongozi wa Konde Gang chini ya @harmonize_tz dhidi ya shauri lililo funguliwa na wasanii @officialkilly_tz na @officialcheed mapema mwezi huu baada ya kuvunjiwa mkataba na Label ya Konde Gang.


Ndaga amedai shida ni namna vyombo vya habari vinavyo wasilisha taarifa, lakini uhalisia ni kuwa Konde Gang ndio walio omba kupewa siku mbili na sio BASATA kutoa siku hizo, na hii ni baada ya siku ya kwanza Konde Gang kutofika kikaoni, siku ya pili kutuma mwakilishi na baada ya majadiliano na mwakilishi, wao kama Konde Gang walihitaji siku mbili mbele waweke mambo yote sawa ili watakapo rudi tena kwenye kikao wawe na details zote za shauri hilo ambayo ni siku ya kesho Ijumaa ya October 21.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad