Msizwa Adai Alitongozwa na ESMA Platnumz Akiomba Wafunge Ndoa ili Kumsitiri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kutokakwa mfanyabiashara Msizwa ambae alikua shemeji wa mwanamuziki Diamond Platnumz, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu ndoa yake iliyopita kwa kudai kuwa dada wa mwanamuziki Diamond Platnumz #esmaKhan ndie aliye kuwa wa kwanza kumtongoza na kudai kuwa alifanya hivyo ili kuhitaji ndoa apate stara.

Msizwa amefunguka hayo usiku wa jana kiakizindua kiwanja cahake kipya cha burudani maeneo ya sinza jijini Dar es salaam.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad