Polisi Waanza Uchunguzi Dhidi ya Kalynda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Uchunguzi utafanywa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za Uchunguzi na Fedha ili hatua stahiki za kisheria ziweze kuchukuliwa

Msemaji wa Jeshi hilo, David Misime amesema "Ni lazima kila mmoja wetu atambue kuna Matapeli. Usalama wa Fedha au Mali yako unaanza kwanza na wewe mwenyewe, hakuna utajiri au kujipatia Fedha kwa njia rahisi kiasi hicho bila kutoka jasho kwa kufuata sheria".

Kampuni ya Kalynda E-Commerce inatuhumiwa kuendesha Biashara national Insurance number za Upatu na kuwadhulumu waliokuwa wateja wake kiasi kikubwa cha Fedha na kutoweka katika Mazingira ya kutatanisha.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad