Rais Ruto "Uhuru Kenyatta Aliharibu Uchumi wa Kenya"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Rais wa #Kenya amemshutumu Mtangulizi wake, #UhuruKenyatta kwa kusababisha mzozo wa Kiuchumi na Kiusalama uliopelekea ahitaji muda kurekebisha, huku akianzisha mipango ya kumalizia Mabwawa na Miradi mingine ambayo ilisitishwa kwasababu za Kisiasa

Amesema, “Wapinzani wetu waliiharibu Nchi hii na sasa watupe nafasi ya kurekebisha fujo zao. Walikuwa na Miaka Mitano ambayo walitumia kuharibu kila kitu Nchini: Walituacha na #Uchumi duni, Nchi iliyojaa Madeni, Usalama uliodorora, Jeshi la Polisi kuwaua Watu badala ya kuwalinda”.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad