TIMU ya taifa ya soka ya wanawake chini ya miaka Leo Kukiwasha na Ufaransa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





TIMU ya taifa ya soka ya wanawake chini ya miaka 17(Serengeti Girls) leo inashuka dimbani kuikabili Ufaransa katika michuani ya Kombe la Dunia inayoendelea India.

Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Pandit Jawaharlal Nehru uliopo Goa Kusini Magharibi mwa mji mkuu wa India, New Delhi.

Katika mchezo wa kwanza Tanzania ilipoteza mbele ya Japan kwa mabao 4-0.

Tanzania iliyopo kundi D itamaliza michezo ya makundi Oktoba 18 kwa kupambana na Canada.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad