Waganga wa Jadi Wapigwa Marufuku Uganda.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewaagiza waganga wa jadi kuacha kuwatibu watu wakati wa mlipuko wa ebola unaoendelea ambao hadi sasa umesababisha vifo vya watu 19 nchini humo.



Rais pia amewaagiza maafisa wa usalama kuwakamata watu wanaoshukiwa kuambukizwa virusi vya corona iwapo watakataa kutengwa.


Akizungumza kwenye hotuba yake kwa taifa kupitia televisheni, Museveni aliwaambia waganga wa jadi na wafugaji kutowatibu watu wanaoshukiwa kuambukizwa magonjwa ya virusi. ugonjwa huo wa virusi vya corona.


Hii ni kufuatia kifo cha mwanamume mwenye umri wa miaka 45 ambaye aliorodheshwa na timu za afya kuwa amepatikana na virusi vya Ebola.mwanamume huyo aliyefariki katika hospitali moja mjini Kampala, alikuwa amekimbia kijiji chake katika wilaya ya Mubende, kitovu cha mlipuko huo.


Inasemekana mwanaume huyo alitafuta matibabu kutoka kwa mganga wa jadi kabla ya kujitokeza katika hospitali ya Kampala na kufariki saa chache baada ya kulazwa huko, mamlaka imesema.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad