Boss Mpya wa Twitter Awapiga Mkwala Wafanyakazi Wake "Fanyeni Kazi Masaa Mengi Au Muache Kazi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe Wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalum hadi kufikia Nov. 17, 2022 jioni

Musk amesema "Ili kwenda mbele, kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na kufanikiwa katika Ulimwengu unaozidi kuwa na ushindani, tutahitaji kuwa wagumu sana, hii itamaanisha saa nyingi kwa nguvu ya juu."

Musk amesema yeyote atakayeshindwa kwenda sawa na masharti yake mapya kazini ajiandae kuondolewa kazini ila atapata malipo yake ya miezi 3
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad