Dogo Janja Akerwa na Ukimya wa Mwanamuziki Aslay..Amrushia Dongo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Inaonesha Janjaro @dogojanjatz pia anakerwa na ukimya wa msanii mwenzake @aslayisihaka hii ni baada ya kuweka wazi kwamba hapendezwi na ukimya wa mkali huyo pasipo kuachia kazi yoyote.


"Tunataka mziki! @aslayisihaka mwaka ukiisha haujaachia mziki, tusizoeeeeane" - ameeleza Janjaro kupitia insta story yake kwa msisitizo.


Itakumbukwa, Aslay kwa sasa yupo chini ya usimamizi wa Rockstar Africa ambapo Agosti mwaka huu alitangaza rasmi kusainishwa nao. Mara yake ya mwisho kuachia wimbo ilikuwa ni Januari 21, mwaka 2021, aliachia video ya wimbo wake uitwao "Nashangaa".

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad