Huyu Hapa Mwamba Aliyewatapeli Wanaume Kibao Kimepenzi Wakijua Mwanamke

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanaume huyo amedakwa na polisi nchini Uganda kwa kuvaa na kujifanya mwanamke kisha kuwatapeli wanaume mbalimbali ambao hawakumshitukia

Mmoja wa mwanaume alimshitukia baada ya kuingiza mkono kifuani na kuanza kumpapasa na ndipo ghafla akapatwa na mshituko kuona hamna kitu cha maana cha kupapasa hapo kifuani

Tayari wanaume 57 wameripotiwa kukiri kutapeliwa na njemba hiyo huku wanaume 22 wakikiri kutapeliwa nae karibia mara tatu. Alikuwa akitapeli waliolewa na hata ambao hawajalewa kwa kuwaingiza mkenge wakidhani ni mwanamke
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad