Mrembo Tessy Aweka Mambo Sawa "Beka Hajawahi Kunitaka Kamapenzi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Bila Shaka Kila Mtu Anakumbuka Kuwa na Vuguvugu Kubwa Kuwa Chanzo Cha Kuvunjika Kwa Kundi la Yamoto Bend Ilisababishwa na Tessy Chocolate Kudaiwa Kuwachanganya Aslay Na Beka Flavor Kwa Wakati Mmoja.

Skendo Hiyo Imeonyesha Haina Ukweli wowote Baada Ya Tessy Chocolate Kutokubaliana na Skendo Hiyo na Kusema Hakuwahi Kuwa na Mahusiano na Mwanaume Mwengine Zaidi ya Aslay.

Pia Tessy Chocolate Alihusishwa Kusababisha Ugomvi Wa Aslay na Diamond Platnumz Baada ya Kuhusishwa Kuwa na Mahusiano na diamond platnumz.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad