Mvutano Bungeni Kuhusu Mzazi wa Kijana Majaliwa Anayepaswa Kupongezwa Baba/Mama, Tazama hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Majaliwa Joseph, kijana aliyewezeshwa kuokolewa kwa watu 26 katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea katika Ziwa Victoria November 6 mwaka huu amefika bungeni jijini Dodoma akiwa ni miongoni mwa wageni walioalikwa Leo November 11 2022.

Baada ya kutambulishwa Bungeni na Spika wa Bunge, Dr. Tulia Ackson alimpongeza mama wa kijana Majaliwa Jackson kwa kazi nzuri ya kumlea na kumpa ujasiri wa kujiamini pamoja na mazingira aliyonayo jambo ambalo lilimuibua mbunge wa Mkalama, Francis Mtinga kuomba baba wa kijana huyo pia apongezwa jambo ambalo lilizua shangwe miongoni mwa wabung

“Mimi nimempongeza mama yake kwa sababu maalumu, na habari ya baba nimempa nafasi Mbunge wa Mkalama amempongeza, tusichanganye mambo Bunge limempongeza mama”-Spika Dr. Tulia Ackson
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad