Quavo Alikuwa Kwenye Ugomvi Kabla Mwenzake Takeoff Hajapigwa Risasi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Video Mpya Imeonesha Ugomvi Uliokuwa Ukiendelea Nje Ya Eneo La Kucheza Mchezo Wa Kete Huko HOUSTON. #Quavo Alikuwa Kwenye Ubishani Na Kundi Moja Kuhusu Mpira Wa Kikapu (Basketball), Huku Takeoff akionekana Hatua Kadhaa Nyuma Ya Quavo Ambaye Alikuwa Akibishana Kwa Zaidi Ya Sekunde 30 Kabla Ya Shambulio La Risasi

Ilikuwa Ni Mishale Ya Saa Nane (8:30) Usiku Ambapo Baada Ya Sekunde Kadha Ulisikika Mlio Wa Bunduki Ndipo Mtafutano Ulipoanza Kila Mmoja Alianza Kutafuta Chocho Lake Huku Milio Ya Risasi Ikizidi Kusikika Zaidi Ya 10 Bila Mpangilio Katika Bunduki Tofauti Tofauti Baada Ya Muda ilisikika Sauti Ya Mtu Mmoja Eneo Hilo Kuwa #TakeOff "DEAD" Yani Amekufa Licha Ya Quavo Na Waliokuwa Karibu Yake Kujaribu Kutoa Msaada Lakini Tayari Walikuwa Washachelewa Kutokana Risasi Inayotajwa Kumpata Kichwani

TAKE OFF - June 18th, 1994 - Nov 1, 2022 (28 Years)
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad