UPDATE: Takeoff Alipigwa Risasi ya Kichwa Saa Nane Usiku

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



UPDATE: Tovuti ya TMZ imeeleza kwa undani tukio la shambulizi lililopelekea kifo cha marehemu #Takeoff ambaye jina lake halisi ni Kirshnik Khari Ball. TMZ imeeleza kuwa TakeOff (28) alipigwa risasi ya kichwa alfajiri ya leo huko Houston Marekani.

Kupitia taarifa waliyopewa TMZ ni kwamba, Maafisa wa polisi na wengine walioshuhudia wamesema kwamba tukio hilo la ufyatuaji wa risasi lilitokea saa nane na nusu alfajiri (kwa saa za Marekani) kwenye barabara iitwayo 810 Billiards & Bowling Houston.

Inaelezwa kwamba ulitokea mvutano wakati TakeOff na Quavo (MIGOS) wakiwa hapo na mtu mmoja akafyatua risasi. Risasi hiyo ilimpata TakeOff sehemu ya kichwani na kufariki pao hapo. Wengine wawili waliojeruhiwa kwa risasi kwenye mvutano huo walikimbizwa hospitali. Quavo hajajeruhiwa kwenye tukio hilo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad