Zumaradi "Polisi Walinichukulia Milioni 19 na Kunipiga"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza leo Nov 01, 2022, Mashahidi watatu wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa wametoa ushahidi wao leo katika kesi namba 12 ya Shambulio inayomkabili Diana Bundala maarufu Zumaridi na wenzake 84.


Kesi hiyo ilikuja mara baada ya kutokea sintofahamu kwenye maelezo yaliyodaiwa na upande wa mashtaka kuwa Zumaridi ambaye alikana saini iliyowekwa kwenye maelezo kuwa sio yake.


Pamoja na Mashahidi wengine wawili kutoa ushahidi wao mbele ya Mahakama, Shahidi namba tatu ambaye ni Diana Bundala maarufu Zumaridi ameileza Mahakama kuwa Polisi walivamia katika chumba chake na kumtoa nje kisha wakaanza zoezi la upekuzi ambapo walichukua pesa kiasi cha Tsh. Milioni 19.5 na simu mbili baada ya kumpiga kwa muda mrefu.


Hakimu Clescencia Mushi baada ya kusikiliza ushahidi huo akaiahirisha kesi hadi Nov 9, 2022, kesi hiyo itakapotolewa maamuzi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad