Sallam SK Afunguka "Mnaosema Naenda Kufanya Kazi na Harmonize Mnanikosea Heshima.. Haiwezekani Labda Arudi WCB"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


International manager wa WCB Wasafi @sallam_sk hatimae amefunguka kuhusu tetesi za yeye kutajwa kwenda kujinga na record label ya Konde Gang.

Kupitia mahojiano yake na kituo cha mjini fM Sallam_sk amekanusha tetesi hizo na kueleza kuwa ni kumkosea adabu kwa taaarifa hizo huku akiweka wazi kua anaweza kufanya kazi na @harmonize_tz endapo atarudi WcB ama yeye kuanzisha record label yake na kumsaini kama msanii wake ila si yeye kwenda konde gang.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad