Tetesi zinadai Simba Mambo sio Mambo, Barbara Hatakiwi, Basi Lakamatwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




1. Inadaiwa viongozi wengi wanamkataa C.E.O Barbara Gonzalez na kumtaka aondoke.

2. Inadaiwa Wachezaji wanadai posho zao.

3. Inadaiwa kuwa wamenyanganywa basi na wadhamini wao Africaries kwa kukiuka mkataba.

4. Inadaiwa Mohammed Dewji amegoma kutoa fedha za usajili mpaka pale uongozi upande wa wanachama utakapokubali masharti yake, ikiwemo Barbara Gonzalez kuendelea kuwa CEO wa klabu.

Tunasubiri taarifa rasmi kutoka kwa uongozi wa klabu wa kudhibitisha au kukanisha tetesi hizi.

By Lemutuz
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad