Muonekano wa Nembo ya Tanzanite Katika Daraja la Tanzanite

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakala Ya Barabara (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam umetoa taarifa jana kwa Watumiaji wa Daraja la Tanzanite kuwa uwekaji wa nembo ya Tanzanite umekamilika na Daraja limefunguliwa juzi siku ya Jumapili tarehe 8 Januari 2023 saa Saba (7) Mchana, tayari magari yameanza kupita na huu ni muonekano wa Daraja kwa siku ya leo.

Kupitia taaarifa yao walisema “TANROADS Mkoa wa Dares Salaam inawashauri Watumiaji wa Daraja hilo kuendelea kulitumia kwa kuzingatia alama za usalama Barabarani na utunzwaji wa miundombinu adhimu ya daraja hili, tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza wakati wa uwekekaji wa nembo ya Tanzanite”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad