Ndege ya Abiria ya Kampuni ya Yeti Airlines Yenye Abiria 72 Yaanguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ndege ya abiria ya Kampuni ya Yeti Airlines iliyobeba jumla ya Watu 72 imeanguka leo katika Mji wa Pokhara karibu na uwanja wa ndege wa Mji huo uliopo nchini Nepal, Vikosi vya Uokoaji vinaendelea na uokoaji na Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha.

Ndege hiyo ilikuwa na abiria 68 na Wafanyakazi wa Ndege wanne na ilikuwa inatokea Mji wa Kathmandu kuelekea Pokhara, taarifa zaidi kukujia.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad