PICHA: Mo Dewji atinga kambini Dubai Aongea na Wachezaji kwa Kina

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Rais wa heshima wa klabu ya Simba Sc, Mohammed Dewji leo Jumanne (Januari 10) ametembelea kambi ya kikosi cha Klabu hiyo mjini Dubai-Falme za Kiarabu.


Kikosi cha Simba SC kimeweka Kambi mjini humo kwa ajili ya kujiandaa na Ligi ya Mabingwa Barani Afrika sambamba na Michezo ya Ligi Kuuna Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’.


Akiwa kambini Tajiri huyo alipata nafasi ya kuongea na wachezaji na benchi la ufundi kuhusu mambo mbalimbali ya klabu na mipango yake ya kuhakikisha Simba SC inatwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad