Producer Shirko Amchana Rayvanny "Sifia Producer na Sio Majengo ya Studio"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Producer @shirkomedia Ametoa Maoni Yake Juu Ya Kile Msanii @rayvanny Alichodai Kuwa Yeye Ndiye Msanii Mwenye Studio Nzuri Kwa Afrika Mashariki, #SHIRKO Alishuka Kwenye Uwanja Wa Komenti Katika Post Tuliyopost Na Kutoa Ushauri Wake Juu Ya Mtazamo Wa #CHUI .
-
-
@shirkomedia Ameshuka Na Kuandika..................''I think jambo msanii analotakiwa kujivunia ni kuwa na producer bora anayemmiliki au kufanya nae biashara kuliko kusema una studio bora. Mijengo, vifaa havijitengeze vyenyewr ni akili ya mtengenezaji na ubunifu wake. Ifike mahali maproducer waonekane wakubwa kuliko haya majengo na vifaa. Naamini siku moja producers wakija kujitambua thamani yao hawa wasanii watakaa nao chini kibiashara zaidi wanufaishane fairly na sio kila siku tusikie wasanii tu wanarigisha mali zao na producers waishie kulalamika kudhulumika mitandaoni. Anyways big up my young brother kwa kuhakiki kusimamisga a good label na a good studio sasa babdo utafute a good talented producer umuajiri kunufaishana ndio itimie kwa jina la best studio for more hits to be unveiled''
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad