Yanga Yatangaza Kumuuza Fei Toto Utaratibu Ukifuatwa kwa Pande Zote

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



UONGOZI wa Yanga, umeweka bayana kuwa, wapo tayari kumuuza kiungo wao, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na mchezaji mwingine yeyote kwenye timu hiyo kama tu utaratibu utafuatwa kwa pande zote.

Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe, alisema, watu wamekuwa wakizungumza tofauti kwenye sakata la Fei Toto na kubwa ikiwa ni kuwasema viongozi kuwa huwa hawapendi kuwaachia wachezaji waondoke wanapotakiwa na timu zingine.

Akizungumza na Spoti Xtra, Kamwe alisema: “Yanga ni timu ya biashara, kwa hiyo haiwezi kukataa kumuuza mchezaji yeyote kama utaratibu utafuatwa. Tatizo kubwa ni utaratibu tu.

“Tunaweza kumuuza Fei Toto na mchezaji mwingine yeyote kama utaratibu utafutwa, sisi hatukukataa kumuuza, ilitakiwa kuwe na mazingira yanayotakiwa.”


STORI: ISSA LIPONDA
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad