Mtumbwi Uliobeba Wanafunzi Wazama, Wanne Hawajulikani Walipo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 



Watoto wanne hawajulikani walipo baada ya mtumbwi uliokuwa umebeba watoto sita wa shule ya msingi Kagera kuzama katika mto Ruiche kata ya Kagera manispaa ya Kigoma - Ujiji.

Nahodha wa mtumbwi huo Ndemeye Andrea amesema, ajali hiyo imetokea majira ya saa mbili asubuhi hii leo wakati akiwavusha watoto hao kwenda shule ambayo ipo eneo la ng'ambo.

Vikosi vya zimamoto na uokoaji vikiongozwa na mkuu wa wilaya ya Kigoma vinaendelea na juhudi za kuwatafuta watoto hao ambao hawajulikani walipo mpaka sasa.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad