Diamond Platnumz Amewapiga Dongo Wanamuziki Wenzake wa Bongo "Wanalazimisha Upinzani"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Platnumz

Diamond Platnumz amewapiga dongo wanamuziki wenzake kutoka hapa nyumbani wale aliodai wanalazimisha upinzani naye, hii ni baada ya ku-share chart ya wanamuziki waliotazamwa zaidi kupitia mtandao wa youtube kwa mwezi uliopita, yaani February 2023.

Chart hiyo ambayo imetolewa na Charts Tanzania, hutolewa kila mwezi ambapo huonesha panda shuka za wasanii katika channel zao.

Diamond awaambia hao aliowakusudia wajikaze kidogo kwenye mauzo yao kwani mbali ya nyimbo nyingi wanazozitoa lakini hawajaweza kumshusha nafasi ya kwanza.

“Mnaolazimishaga upinzani mngejikagaza hata kidogo kwenye vimauzo vyenu, asa manyimbo yote mnayotaaga kila kukicha faida yake nini?” - @diamondplatnumz

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad