Mbowe Afunguka Kuhusu Dr Slaa Kurudi CHADEMA "Chadema Ipo Tayari Kumpokea"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Mwenyekiti wa #CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama chao ni cha Kidigitali, yeyote anaweza kujiunga au kutoka na pia hakuna urafiki wa kudumu au uadui wa kudumu kwenye siasa

Akijibu hoja kama CHADEMA ipo tayari kumpokea aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Willibrod Slaa, Mbowe amesema “Mtu aliyekuwa Kiongozi Mwandamizi kwenye chama kama Dkt. Slaa ujio wake hauwezi kuwa kama Mwanachama mwingine wa kawaida, lazima kuna njia zifuatwe."

Ameongeza “Bado hajatufikia, ametoa kauli kali dhidi yetu na wakati mwingine kutuunga mkono lakini hatuna geti la kuzuia Wanachama wapya. Tunatamani walioondoka kwa kashfa na kukidhalilisha chama wanapotaka kurejea watafute uungwana wa kuzungumza na Viongozi wenzao kujua kipi kilienda tofauti.”

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad