Mtoto Afariki Akifanyiwa Maombi na Mchungaji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Mtoto Consolanta Charles mwenye umri wa miaka 16 katika Kitongoji cha Mkuyuni Kijiji cha Magamba Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi amefariki dunia wakati akipatiwa huduma ya maombi kwa mchungaji.


Imeelezwa kuwa vipimo vya awali vya hospitali vilionesha kuwa mtoto huyo alikuwa na Malaria pamoja na UTI na alipewa rufaa ya kwenda hospitali kubwa lakini alirudi nyumbani na ndipo mlezi wake alipoamua kumpeleka kwa mchungaji kwa ajili ya maombi.


Mlezi wa mtoto huyo pamoja na ndugu na majirani wa marehemu wamesema kwa mara kadhaa mtoto huyo alilazwa hospitali na baadaye kuruhusiwa kurudi nyumbani na baada ya muda hali yake ilirudi na kuamua kumpeleka kwa mchungaji kwa ajili ya maombi.


Mwenyekiti wa kitongoji cha Mkuyuni Gitani Chembanengi, amethibisha kutokea kwa kifo hicho cha mtoto Consolanta na tayari akiwa amezikwa kijijini hapo.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad