Jay Melody: ‘Nakupenda’ imeniingizia Tsh mil 200

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Mwimbaji Staa wa Bongofleva ambaye kwa sasa anatamba na ngoma mpya za ‘Sawa’ na ‘Na iwe kheri/Ramadhan Kareem’, Jay Melody amefunguka wimbo wake wa ‘Nakupenda’ ambao ulishika namba moja kwenye chati zote, umemuingizia zaidi ya Tsh milioni 200.


Katika mahojiano hayo maalum na chombo kimoja cha habari, jay Melody amesema kwamba kwa mwezi Januari pekee wimbo huo umemuingizia kama Tsh milioni 40.


Aidha, Jay amezungumzia maisha yake kabla ya kuwa Staa, alivyohusika kuchezesha magumashi kwenye biashara ya kuuza nguo, wasanii ambao wamewahi kumlipa kwa wakati pale anapowaandikia nyimbo, kumpost Paula kulivyomletea balaa

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad