Jay Z, Rihanna watajwa kwenye orodha ya mabilionea wa Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Orodha ya #Forbes inayojumuisha Watu 2,640 wanaomiliki Utajiri mkubwa Duniani, imemtaja Rapa na Mfanyabiashara #JAYZ katika nafasi ya 1,217 akiwa na Utajiri wa Tsh. Trilioni 5.8 na #Rihanna kwenye nafasi ya 2020 akiwa na Utajiri wa Tsh. Trilioni 3.2


Orodha hiyo inaongozwa na #BernardArnault na Familia yake wakiwa na Utajiri wa Tsh. Trilioni 493.9, akifuatiwa na #ElonMusk mwenye utajiri wa Tsh. Trilioni 421.3 na #JeffBezos mwenye Trilioni 266.8. #KanyeWest ametajwa kupoteza utajiri wa takriban Tsh. Trilioni 2 katika orodha hiyo


Ni Msanii gani wa #Tanzania unatamani afanikiwe kufikia viwango hivyo?

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad