Kimeumana! Mwalimu na mwanafunzi wachapa konde darasani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Video inasambaa mitandaoni ikionyesha tukio ambapo mwalimu wa kike na mwanafunzi wa kike walikuwa wakipigana darasani.


Tukio hilo linaripotiwa kutokea Jumatatu, Aprili 17, 2023 katika Shule ya Sekondari ya Rocky Mount, kaunti ya Nash, jimbo la North Carolina, Marekani.


Kulingana na ripoti, Xaviera Steel, ambaye alikuwa akifunza kama mwalimu mbadala katika shule hiyo, anasemekana kumpokonya mwanafunzi huyo simu alipokuwa akiitumia darasani.


Kisha mwanafunzi huyo aliyekuwa amekereka, alimkaripia Steel, akitaka amrejeshee simu yake, akisema kuwa sheria hazitumiki kwa kila mtu na kusisitiza kwamba ilikuwa simu yake.


"Kwa nini sheria hazitumiki kwa kila mtu mwingine. Hiyo ni simu yangu,” mwanafunzi huyo alisikika akisema. Mwalimu Steel alimjibu kuwa sheria hizo zinatumika kwa kila mtu, huku akimwonya mwanafunzi huyo kutomgusa.


Lakini mwanafunzi huyo alimrukia, hali ambayo ilichochea vita vikali kati ya wawili hao. Polisi wa Rocky Mount walithibitisha tukio hilo na kuongeza kuwa hakuna aliyejeruhiwa.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad