Kipigo Cha Yanga Chazua Vita Mpya Mjini..Jemedari Ampiga Dongo la Mwaka Haji Manara

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kipigo Cha Yanga Chazua Vita Mpya Mjini..Jemedari Ampiga Dongo la Mwaka Haji Manara


Kipigo Cha Yanga Chazua Vita Mpya Mjini..Jemedari Ampiga Dongo la Mwaka Haji Manara

Baada ya Yanga kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Simba katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo.

Jemedari Said amemtupia kijembe aliekuwa msemaji wa Yanga Haji Manara ambae aliwahi kutamba huko nyuma kwamba ataweza kufungwa na Yanga.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Jemedari ameweka Video Clip ya Manara na kuandika;

“Kuna wakati tunaamini wajinga kwenye mambo ya msingi mpaka wanajiona “miungu watu”, ishatokea sasa inakuaje?

Mpira unataka heshima, derby inataka heshima. Mzee Kaduguda aliwahi kusema huwezi kuwafunga Yanga kama hauwaheshimu, manake Yanga wanaweza wakaokotana wazee kama yeye 11 wakaingia kiwanjani wakaifunga Simba.

Huyo ni mwandishi wa habari mkongwe nchini, Katibu Mkuu wa zamani wa FAT (sasa TFF), Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC na mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo, Mwenyekiti wa zamani wa Ghymkhana club Dar es Salaam na msomi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam anaonyeaha kuheshimu mpira na miiko yake, halafu mjinga mmoja anasema yeye hawezi kufungwa mpaka anakufa na watu wanashangilia na kuamini, ndo nchi yetu sasa tufanyeje? Tunapawa kuachana na wadananda hawa hawajui boli wanaganga matumbo yao

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad