Mmiliki wa Kampuni ya Mabasi ya Tashrif Afariki Dunia Ghafla Mkoani Tanga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Tashrif Bus Service, Marehemu Hamoud Said Al Habsy
Mfanyabiashara mkubwa wa usafirishaji ambae pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Tashrif Bus Service, Hamoud Said Al Habsy maarufu kama Mzee Tashrif amefariki dunia ghafla alfajiri ya leo, April 12, 2023.

Kwa mujibu familia ya marehemu, Mzee Tashrifu anatarajiwa kuzikwa saa kumi jioni ya leo.

Kwa sasa, msiba upo nyumbani kwake Usagara, Tanga.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad