Nimetembea na Mke wa Boss, Kaniambia Kapata Ujauzito Wangu

Nimetembea na Mke wa Boss,  Kaniambia Kapata Ujauzito Wangu



Mimi ni dereva namuendesha mke wa boss wangu.  

Toka nimeanza kazi hii yapata mwaka mmoja sasa mke wa boss alianza mitego nikawa namvumilia, kuna siku tulisafiri kwenda Mtwara kwenye biashara za huyu mama, kufika kule yule mama alilipia chumba kimoja tu nakuniambia tutalala wote , zali la Mentali

 Sikuwa na jinsi nikala mzigo bila hata ya condom basi ndiyo ikawa mchezo kila tukitoka lazima mama boss anipe mzingo na kiukweli mshahara niliongezewa.

Sasa jana aliniita nakunieleza kuwa yeye ni mjamzito na mimi ndiyo mwenye huo mzigo ila akanishauri niuchune kwa sababu mumewe anajua kwamba mkewe ni mjamzito.

SASA WASIWASI WANGU AKIJA KUZALIWA MTOTO ANAFANANA NA MIMI ITAKUWAJE?

 


Naomba ushauri waungwana.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad