Huyu Boka wa Yanga Hatariii, Ukikimbia Nchale ukisimama Nchale.,...

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa


Yanga imekamilisha usajili wa beki wa kushoto Chadrack Issaka Boka kutoka FC Saint Lupopo ya DR Congo.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 24 amekuwa akiitumikia timu ya taifa ya DRC ambapo alijumuiswa kwenye kikosi hicho kilichoshiriki michuano ya CHAN iliyofanyika Algeria mwaka 2022 akicheza michezo yote mitatu ya hatua ya makundi.

Usajili wa Yanga SC mpaka sasa

1. Clatous Chota Chama✅
2. Prince Mpumelelo Dube✅
3. Chadrack Issaka Boka✅
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad