Wahaya Wamuonesha Jeuri ya Fedha Rayavanny

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Wahaya Wamuonesha Jeuri ya Fedha Rayavanny 

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Staa wa Muziki Raymond Mwakyusa 'Rayvanny' anasema kuwa amewanyooshea mikono wahaya kwani wamemzuia kwenda kufanya show Dubai ili aende kuwaimbia katika Shughuli ya Harusi uko Bukoba.


Hii maana yake watakawa wamempandia dau na mwamba ameona isiwe kesi, anaachana na show ya Dubai, anabaki Bongo kufanya shoo hiyo siku ya tarehe 25, Aprili 2023.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad