Hii Hapa Mikoa Sita Tanzania Kinara wa Kilimo cha Bangi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Hii Hapa Mikoa Sita Tanzania Kinara wa Kilimo cha Bangi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama ametaja mikoa sita inayolimwa bangi kwa wingi nchini ikiwa ni pamoja na Arusha.

Mikoa mingine ni Iringa, Morogoro, Manyara ambayo imekuwa ikilima bangi kwa ajili ya kuuza nje ya nchi huku Mara na Ruvuma ikilima kwa matumizi ya ndani.

Mhagama ameyasema hayo leo Mei 30, 2023 baada ya kuwasilisha bungeni taarifa ya hali ya dawa za kulevya ya mwaka 2022.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad