Timu ya Singida Big Star Hawajitumi Wakichaza na Yanga ila na Simba Wanakamia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Singida Big Stars hawajitumi kivile wakicheza na Yanga, wakicheza na simba inakuwa bonge la game, mechi yao ya mwisho na yanga kipindi cha kwanza walikuwa off kabisa, imagine waliruhusu mabao mawili ndani ya dakika 20 tu, mabeki wao wanawalaumu viungo hawaji kuchukua mipira wanajificha nyuma ya wachezaji wa Yanga, lakini walivyorudi kipindi cha pili ndiyo wakarudi kwenye mchezo"

- Uchambuzi wa Nasry Khalfan, Mchambuzi wa Wasafi Fm

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad