KIKOSI Cha Yanga vs Azam FC Leo tarehe 12 June 2023

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

KIKOSI Cha Yanga vs Azam FC Leo tarehe 12 June 2023


KIKOSI Cha Yanga vs Azam FC Leo tarehe 12 June 2023, Klabu ya Yanga SC itacheza mechi inayofuata dhidi ya Azam FC June 12, 2023 Saa 9:00 Alasiri kwenye Uwanja CCM Mkwakwani Jijini Tanga.


Mechi hiyo ni ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la TFF Maarufu Azam Sports Federation Cup (ASFC 2022/2023), Matokeo Azam FC vs Yanga,Matokeo Yanga sc vs Azam fc leo June 12 2023, Azam vs Yanga.

KUELEKEA mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports dhidi ya Azam FC utakaopigwa leo Jumatatu kwenye Dimba la Mkwakwani Tanga, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ni kama amewaweka mtegoni Azam kwa kuwaaminisha kuwa huenda wachezaji wao watakuwa na uchovu kumbe imefichuka aliamuru mapumziko kabla ya safari ya kwenda Tanga.


Yanga juzi Jumamosi walikuwa na maandamano ya kushangilia ubingwa wa Ligi Kuu Bara ambayo yalianzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mpaka makao makuu ya Yanga, mitaa ya Twiga na Jangwani.

Hiki hapa Kikosi cha Yanga kinachoanza mchezo wa leo;


Djigui Diarra (GK)

Shabani Djuma

Ibrahim Bacca

Bakari Mwamnyeto (C)

Joyce Lomalisa

Dickson Job

Khalid Aucho

Salum Abubakar

Tuisila Kisinda

Kennedy Musonda

Bernard Morrison


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad