Unaambiwa Benard Morrison Baada ya Kutemwa na Yanga , Huku Ndio Anapoelekea ..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Unaambiwa Benard Morrison Baada ya Kutemwa na Yanga , Huku Ndio Anapoelekea ..

Mzee wa kuchetua Bernard Morrison kiungo aliyezivuruga kwa nyakati tofauti nyavu za makipa wa Bongo akiwa mitaa miwili tofauti.


Akiwa ndani ya Yanga alimtungua Aishi Manula kwenye Kariakoo Dabi na hapo jina la mchetuaji likapatikana.


Uwezo wake ukwavutia mabosi wa Simba wakampa dili la miaka miwili akiwa huko alionyesha uwezo ikiwa ni kwenye mechi za kimataifa alizopewa nafasi.


Morrison 2021/22 akarejea kwa mara nyingine Yanga na sasa amepewa mkono wa asante akiwa ni mchezaji huru.


Ndani ya Yanga chini ya Nasreddie Nabi kwenye mechi za kimataifa alikuwa bora akitokea benchi alifanya hivyo dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini alipofunga bao katika mchezo huo.


Kwa sasa anatajwa kuwa kwenye hesabu za kuibukia Singida Big Stars ambayo inaitwa Singida Fountain Gate akaungane na mshikaji wake Pascal Wawa beki wa mpira ambaye ni nahodha pia.


Wawa uwezo anaingia kwenye orodha ya mabeki wenye uwezo mkubwa wa kupiga pasi ndefu zinazofika kwenye maeneo husika ni moja ya marafiki wa BM.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad