Kiongozi Simba "Baleke Hajaachwa na Simba, Kaenda Kwao Kubadili Passport"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


JEAN OTHOS BALEKE amerejea nyumbani kwao nchini DR CONGO, Kubadilisha Pasi yake ya Kusafiria (PASPORT) ambayo imejaa tofauti na mashabiki wengi wa soka walivyodhani kuwa anaondoka Simba SC baada ya kupata timu nyingine.

Moja ya Kiongozi Simba SC akizungumza nami ameniambia Jean Baleke anarejea nyumbani kwao nchini DR. CONGO kubadilisha pasport yake ambayo imejaa na hivyo kumnyima nafasi ya kupatiwa VISA ya kuingia nchini Uturuki.

"Baleke hawezi kuondoka Simba SC ila tu anarejea nyumbani kwao kwenda kubadilisha PASPORT yake ambayo imejaa kwa hivyo amekosa Visa ya kuingia nchini Uturuki ila akishabadilisha Pasi yake ya Kusafiria na kupata Visa ataungana na wenzake ambao wataoondoka nchini Jumanne ya Julai 11." - amesema moja ya Kiongozi wa Simba SC
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad