Mapato Magufuli Terminal yafikia Tsh Milioni 5.6 Kwa siku

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Mapato Magufuli Terminal yafikia Tsh Milioni 5.6 Kwa siku

Mapato ya viingilio katika kituo kikuu cha mabasi yanayowenda mikoani na nje ya nchi kilichopo Mbezi kilichopewa jina la Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli, Dar es Salaam yameongezeka kutoka Sh 3, 400,000 kwa siku hadi Sh 5,6 00,000.


Meneja wa kituo hiko, Isihaka Waziri alisema ongezeko hilo ni matunda ya udhibiti wa upotevu wa mapato ulioanzishwa miezi mitano iliyopita kwa abiria au msindikizaji kulipa kiingilio kwa kutumia kadi.


Waziri alisema kabla ya matumizi ya kadi kwa siku. Kituo hicho kilikuwa kikikusanya kati ya Sh 3,000,000 hadi 3,400,000 kwa siku lakini sasa wanakusanya 5,000,000 hadi 5,600,000.


Alisema kwa yeyote mwenye kadi ambayo inatumika katika malipo mengine ataweza kuitumia na kwa ambaye hana atalipa na kupewa kadi ambayo ataitumia na kuiacha kwa ajili ya wengine

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad