Mhasibu wa Halmashauri ya Jiji Afunguliwa Mashtaka ya Utakatishaji TSH 8,931, 589,500

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Mhasibu wa Halmashauri ya Jiji Afunguliwa Mashtaka ya Utakatishaji TSH 8,931, 589,500


Mhasibu wa Halmashauri ya Jiji Afunguliwa Mashtaka ya Utakatishaji TSH 8,931, 589,500

Alinanuswe Mwasasumbe (60) Mkazi wa Mbagala, Dar es Salaam amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na Makosa 13 ya Kughushi Nyaraka, Matumizi Mabaya ya Madaraka na Utakatishaji Fedha

Mwasasumbe ambaye ni Mhasibu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, anadaiwa kati ya Julai 2019 na Juni 2021 akiwa Mtumishi wa Umma alitumia Vibaya Madaraka yake kwa kushindwa kuweka Mapato ya Serikali kwenye Akaunti 4 za Benki

Aidha, kati ya Februari 28, 2021 akiwa na nia ya Kudanganya alitengeneza Nyaraka za Uongo zinazoonesha kurudishwa kwa Fedha zilizotumika Februari 1 - 28, 2021 huku akijua ni Uongo. Mtuhumiwa amerudishwa Rumande hadi Julai 10, 2023

_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad