TAMISEMI yatangaza ajira sekta ya afya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

TAMISEMI yatangaza ajira sekta ya afya

Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) imetangaza tena nafasi za ajira kwa kada za Afya 77 nakuwataka watanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi hizo kutuma maombi kabla ya Julai 22, 2023.

Nafasi hizo ni kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati.

Wataalamu wa Kada za Afya wenye sifa wanatakiwa kutuma maombi kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi cha ajira.tamisemi.go.tz. Waombaji ambao waliwahi kutuma maombi yao awali kupitia mfumo huu wanatakiwa kuhuisha (update) taarifa zao na barua za maombi.

BONYEZA HAPA

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad