TANZIA: Mfanyakazi wa Azam Media afariki Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

TANZIA: Mfanyakazi wa Azam Media afariki Dunia

Uongozi wa Kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Elia Nicholaus Shao aliyekuwa mfanyakazi kwenye Idara ya Huduma kwa Wateja.


Elia amefariki dunia Julai 30, 2023 jijini Dar es Salaam.


Azam Media Limited inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha mpendwa wetu.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad