Kocha Gamondi Kazi Anayo, Wachezaji Wote Wakali na Wanafanya Vizuri, Nani Aanza Nani Akae Benchi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hakuna kitu kizuri kama kuiangalia Yanga ya Gamondi ikicheza, kama unadaiwa kodi, una njaa, una uchovu ama unaumwa homa ndogondogo basi ni dawa inayotibu kwa dakika 90 tulizoshuhudia pale Azam Complex, Chamanzi.

Hakuna kitu kigumu hivi sasa kama kutabiri kikosi cha Yanga kitakachoanza, kila mchezaji anapata nafasi na anakupa kile unachohitaji kwa ubora wa hali ya juu.

Hakuna kitu kigumu kama kutaja man of the match kwenye mchezo wa leo kutokana na namna wachezaji wote walivyomwaga jasho kuipigania bendera ya kijani na njano.

Sio Kibwana aliyekosa michezo kadhaa, sio Mkude aliyekua Morogoro kwenye mechi mbili za nyuma, sio Sure boy aliyekaa benchi mechi mbili, sio Max , sio Kibabage, sio Pacoume aliyeingia kutokea Sub, sio Azizi ki aliyezaliwa upya msimu huu, wala sio Mzize ambaye hakuwepo hata sub kwenye mchezo uliopita kila mmoja anakiwasha🔥.

Hapo bado man of the match kwenye mchezo dhidi ya KMC, Mudathir yuko benchi mtawala wa dimba la kati Doctor Khalid Aucho yuko jukwaani, Yao Attouhoula, Lomalisa, Kenedy Musonda.

Beki bora wa Ligi msimu uliopita na captain kwenye mchezo dhidi ya KMC Dickson Job wanaitazama mechi kwenye TV na bado Asas kala Mkono na mpira mwingi.

Hakuna mtihani mgumu kama kuwa Gamondi, uanze na mchezaji yupi na yupi akae benchi, kila anayepata nafasi anacheza.

Hakuna kitu kigumu kama kukabiliana na ile pressing ya Yanga kuanzia highline, kutoka dakika ya kwanza mpaka 90, wanakuja tu kama wanaugomvi😀

Next match CAFCL, El Merekh Vs Yanga!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad